Hv unaifaham ile group ya mieleka iliyoanzia huku hd ikafika whtssp?
Marahaba sis. We lala ukue aisee...Shikamoo kaka!
Nalala mapema ili niwahi kukua[emoji3][emoji3]
Simu itachunguzwa hata ikiwa mkononi mwakoView attachment 1470212
Weweee. Bado nipo nipo sijajiondoa kimoja ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]Kakijana kana bahati ya mtende kuachiwa baraka zote na anko[emoji852]
Una busara sana. Tulikulea vyema [emoji123][emoji123][emoji123]Hii kazi ndio iliishanishinda kbs, na sitaki kuup moyo wangu majukum mengine zaidi ya kusukuma damu.
Nikiwa siriazi utawezana? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wow[emoji7][emoji7], mapacha hawa wanaonekana wachangamfu...nipatiepo awamu moja basi[emoji51]
Marahaba sis. We lala ukue aisee...
Salimia wapwa zangu na baba yao [emoji1545][emoji1545]
Nikiwa siriazi utawezana? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wifi yenu mayai sidhani kama ataweza kuvuna mpunga labda kuja kula tu. Ila anaweza kusaidia kwa njia zinginezo....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mwambie wifi aje simiyu atusaidie kuvuna mpunga
Wifi yenu mayai sidhani kama ataweza kuvuna mpunga labda kuja kula tu. Ila anaweza kusaidia kwa njia zinginezo....
I see!Uuuuuh sasa huyu naona anatafuta ugomvi na mama mkwe.
Wifi muhimu kuingia shamba, kubeba maji kichwani na kuchunga bila kusahau salama ya kupiga goti hd chini[emoji28]
Mpenda mizigo[emoji23]Hebu pika huko acha mbwembwe [emoji51]
View attachment 1470393
Huyu hawezi aisee. Mayai balaa yaani. Mama mkwe keshamuweka kiganjani hafurukuti na wanapendana sana [emoji16][emoji16]Uuuuuh sasa huyu naona anatafuta ugomvi na mama mkwe.
Wifi muhimu kuingia shamba, kubeba maji kichwani na kuchunga bila kusahau salama ya kupiga goti hd chini[emoji28]
Wameshindwaaaa !!!
View attachment 1470390