Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Klopp alisajili mastaa wawili kwa mkwanja unaozidi Pauni 70 milioni kila mmoja, beki Virgil van Dijk na kipa Allison ndani ya muda huo, lakini waliweka rekodi ya kuingiza Pauni 145 milioni kwenye mauzo ya Philippe Coutinho kwenda Barcelona, hivyo jambo hilo linawafanya kuwa na matumizi ya pesa taslimu Pauni 107 milioni tu kwenye usajili.
 
Wakati wengine wa Big Six, Tottenham Hotspurl ambao hawajabeba taji lolote tangu waliponyakua Kombe la Ligi mwaka 2008, wao wametua Pauni 106.62 milioni, huku kwenye timu yao kukiwa na mastaa kibao iliyowanasa kwa pesa nyingi akiwamo Tanguy Ndombele na Mbrazili, Lucas Moura.
 
Kwa Mahitaji Ya Top Quality Cadets, Office/Staff Jeans, T-Shirts, Shirts Bila Kusahau Socks 👏🏿👏🏿👏🏿 BJB FINE CLOTHING Ndio Jibu Lako.

https://wa.me/+255738589389

👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
INAUZWA - Socks! Jipatie socks top quality


INAUZWA - Brands quality cadets, shirts and t-shirts
bjbfinesocks28.jpg
BJB Combination19.jpg
BJB Combination07.jpg
mens-v-neck-sweater(3).jpg
BJB Combination36.jpg
 
Back
Top Bottom