Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Kwa kweli aise
UliadimikaHabari shemeji
SawasawaMIAKA HIYO YA 1990, KANDA ALIWEZA KUZIKONGA NYOYO ZA WAPENZI WA MUZIKI WA DANSI WA KENYA NA TANZANIA
Diblo Dibala....WENGI WA WANAMUZIKI WA KUNDI HILO, BAADAE WALIHAMA NA KUANZA KUIMBA BINAFSI.
MFANO WA KARIBU NI MPIGAJI MAARUFU WA GITAA LA SOLO DIBLO DIBALA ALIYEJULIKANA KAMA "MACHINE GUN", ALIKUWA SEHEMU MUHIMU KATIKA KUNDI LA BONGOMAN KATIKA ALBAMU KADHAA ZIKIWEMO ZA "KWASA KWASA" NA "AMOUR FOU".
Nilitoroka jeshini makao makuu kwenda kumtazama huyu mwamba. Kulikuwa na jimama moja hivi cheza shoo yake yaani lilikuwa linakata mauno kama vile halina mifupa. Kweli siku hazigandi...Miaka 30 tayari ishapita dah !!!NYIMBO NYINGI ZA MKALI HUYO ALIZOTAMBA NAZO ZILIKUWA ZA IYOLE YA MWAKA1981, DJESSY YA1982, AMOUR FOU 1984, MALINGA YA 1986, LELA LELA MWAKA 1987, SAI NA LIZA ZA 1988, KWASSA KWASSA MWAKA 1989, NA ISAMBE NA INDE MONIE ZA 1990.
🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣majimama tangu enzi hizoooNilitoroka jeshini makao makuu kwenda kumtazama huyu mwamba. Kulikuwa na jimama moja hivi cheza shoo yake yaani lilikuwa linakata mauno kama vile halina mifupa. Kweli siku hazigandi...Miaka 30 tayari ishapita dah !!!
Habari shemeji
Naona hiki ni "kipaji" cha kuzaliwa nacho [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]majimama tangu enzi hizooo
[emoji818][emoji818]Diblo Dibala....
Dally Kimoko....
Rigo Star....
Acha bana. Gitaa la solo linaimba.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku zina kasi mnoNilitoroka jeshini makao makuu kwenda kumtazama huyu mwamba. Kulikuwa na jimama moja hivi cheza shoo yake yaani lilikuwa linakata mauno kama vile halina mifupa. Kweli siku hazigandi...Miaka 30 tayari ishapita dah !!!