D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
WATU HUSEMA NINI?
Katika karne ya 20, jamii fulani zilianza ubaguzi wa kijamii. Kwa mfano, Wanazi, walisema kulikuwa na uthibitisho wa kibiolojia unaoonyesha kwamba kuna jamii bora kuliko nyingine. Kwa upande mwingine, shirika la UNESCO lilisema kwamba kuna “umuhimu wa kuunganisha jamii ya wanadamu na kuleta usawa kati ya wanadamu wote.”