Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Nyanda za juu kusini hakuna jimbo litakalo kwenda upinzani,na kwa chama kile ambacho kimekuwa kinajinasibu na kufanya maigizo,na hata leo yale ya Dodoma mliyoyasikia nataka niwaambieni kwa upande wa Tanzania Bara watalisikia tu Bunge.” - Christopher Ole Sendeka, RC Njombe
1591798293476.png
 
kwa faida ya vizazi vyao nibora warudi chini japokuwa ni usnitch....watanzania hatujawa tayari kupiganiwa haki zetu
Kupiganiwa sawa lakini pia na mpiganiaji awe na haiba na matakwa yanayoeleweka. Na mpiganiwaji ajue kweli kuwa yumo matatizoni na anahitaji kupiganiwa. About turn ya 2015 ina gharama kubwa mno na mpaka watakaporudi kwenye upya wa sera za kikombozi walizoanza nazo na kuachana na hizi siasa za mazingaombwe, matukio na kutafuta huruma ya umma kwa gharama yo yote ile, itawachukua muda sana nao kukaa kwenye viti vya mbele kwenye meza ya mfalme ili kufakamia keki ya taifa. Wakiri kuwa lilikuwa ni kosa la kimkakati kumkaribisha yule mzee na sasa wamerudi kwenye sera komavu endelevu. Natamani wafanye hivyo kabla hawajaingia kwenye uchaguzi wa mwaka huu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mungu aliumba wanadamu wawili wa kwanza, Adamu na Hawa, na akawaambia hivi: “Zaeni, muwe wengi, mjaze dunia na kuitiisha.” (Mwanzo 1:28) Hivyo, Adamu na Hawa wakawa baba na mama wa wanadamu wote. Kisha, baada ya gharika ni familia nne tu zilizookoka, yaani, Noa na mke wake pamoja na wanawe watatu na wake zao. Biblia inafundisha kwamba sisi sote tulitokana na watoto wa Noa.—Mwanzo 9:18, 19.
"zaeni, muwe wengi..."
Kumbe amri ya kwanza kwa wanadamu ilikuwa ni kufanya ngono! Hizi mbwembwe zingine na makatazo kibao yametokea wapi?
Jamani, tupo hapa duniani kwanza, ngono na wadada waliojaaliwa futa. Pili, kula vitu vizuri na vitamu...
Mengine yote tuyafanyayo kinyume na haya ni ubatili mtupu
tapatalk_1578336702763.gif
 
sasa wamerudi kwenye sera komavu endelevu. Natamani wafanye hivyo kabla hawajaingia kwenye uchaguzi wa mwaka huu
khofu yangu ni hizo sera na harakati komavu za kisiasa ndizo zitakazochochea kuumizwa zaidi kifikra, kimwili na hata kiuchumi.
kipindi cha zamani siasa kama hizi nyumbani kwetu waliokuwa wakipigwa zaidi na raia lakini huko kwenu wanaoathirika zaidi ni viongozi wakuu.
 
"zaeni, muwe wengi..."
Kumbe amri ya kwanza kwa wanadamu ilikuwa ni kufanya ngono! Hizi mbwembwe zingine na makatazo kibao yametokea wapi?
Jamani, tupo hapa duniani kwanza, ngono na wadada waliojaaliwa futa. Pili, kula vitu vizuri na vitamu...
Mengine yote tuyafanyayo kinyume na haya ni ubatili mtupuView attachment 1474305
babuuuuuu nakusalimia
 
Back
Top Bottom