D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
BREAKING: Anthony Joshua Amefikia makubaliano ya kupambana na Tyson Fury. Kwa mujibu Eddie Hearn ambaye ni promota wa bondia Anthony Joshua amethibitsha kwamba tayari wamefikia makubaliano ya uwepo wa mapambano mawili kati ya Antony Joshua vs Tyson Fury.