Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pichani ni Mlinda Mlango Sam Bartram wa timu ya soka ya Charlton', Uingereza. Mwaka 1937 ilichezwa mechi ya kirafiki dhidi ya Chelsea. Ukungu mkubwa ulitokea hali iliyopelekea mechi kuahirishwa dakika ya 61, Sam Alibaki golini zaidi ya dakika 20 akijua mchezo bado unaendelea.View attachment 1474358
Duh!
 
Sijawahi kuipenda, nilitumia mara moja tu kwa mtoto wangu wa kwanza ikanishinda. Ile harufu yake ilikuwa inajaa kifuani km nimepita sehem ya vumbi.
Nikaacha jumla mpk leo.
Watu wanapeana maarifa huko. Poda hii huku Marekani imeshapigwa marufuku na mwaka huu Johnson and Johnson wametangaza kuwa wameacha kuitengeneza rasmi. Ina asbestos kwa wingi na inasababisha kansa ya mapafu (mesothelioma) pamoja na kansa ya hatari sana isiyo na dalili kwa akina mama - Ovarian. Haifai kwa matumizi ya muda mrefu !!!
View attachment 1474339
 
wewe tenaa, hakuna haja ya hodi😊
do-cats-smile-header-740x400.jpg
 
Back
Top Bottom