Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naomba link ya kissasian esta, maana nakutana na kitu cha ajabu kweli
https://kissasian.sh/Drama/Fix-You/Episode-21-22

Hii hapo juu ukigoogle
IMG_20200610_205010.jpg
pia hii step
IMG_20200610_205034.jpg
muhimu sana ivumilie tu
 
Vipi wake zetu wangekuwa kama mdada wa tangazo la Tigo?

kwetu hakuna televisheni, nimeiona hii thread muda huu imenibidi nikimbilie youtube niliangalie hilo tangazo la tigo........ jamani weeeeeee namtafuta huyu mwanamkeeee, namuwekea 2000 ananipikia msosi wa 8000.

kama yumo humu ndani ajitokeze, mahari yake nitampa banda la sungura
 
Back
Top Bottom