Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndio ni maamuzi yangu. Ila sio mkuliya mimi ni msukuma.

Wasukuma ndo tulivyo hivi mutuzoeeni tuu
Kwetu mwanamke kuchangia mawazo ni aibu kubwa tena ni zarau.
Mwanamke hawezi simama hata kwenye kikao cha wanaume ndo maana (__) na mama (__) wake tulikuwa tukimshangaa sana,.

Mwanamke haruhusiwi kuwa na mamlaka kama mama (Jnt)
 
Kwenye Top Four, vita ya kuwania tiketi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inaanzia kwa Sevilla iliopo nafasi ya tatu hadi kwa Atletico Madrid iliyo nafasi ya sita. Real Sociedad na Getafe zitaongeza ushindani mkali zikishika namba nne na tano na kufanya mchuano huo kuwa mkali. Timu hizo nne, zimetofautiana pointi mbili tu. Valencia ipo nyuma kwa pointi tano katika mchakamchaka huo.
 
Kama ilivyo kwenye vita ya kuwania tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya, La Liga itashuhudia pia kasheshe la kukwepa kushuka daraja, ambapo itazihusu timu kibao ikiwamo Celta Vigo. Vita ya kiatu cha dhahabu ‘Pichichi’ itawahusisha mastaa Lionel Messi, Karim Benzema, Luis Suarez, Lucas Perez na wengineo.
 
Leo, Alhamisi

Sevilla v Real Betis (Saa 5:00 usiku)

Kesho, Ijumaa

Granada v Getafe (Saa 20:30 usiku)

Valencia v Levante (Saa 5:00 usiku)

Jumamosi, Juni 13, 2020

Espanyol v Alaves (Saa 9:00 alasiri)

Celta Vigo v Villarreal (Saa 12:00 jioni)

Leganes v Valladolid (Saa 2:30 usiku)

Mallorca v Barcelona (Saa 5:00 usiku)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…