Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

When she's laying there thinking you are going to fetch a condom...surprise the idiot........ come back with a bible and read the verse about sex before marriage is a sin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] #Mal's manifesto
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] ndio wale wale, dawa yenu nyie ni kuwaanzishia uzi tu[emoji12][emoji12][emoji12].
Kinachotakiwa ni your money!
Not mine whether ninazo au sina, muhimu tu hela yako
Hata ukianzisha uzi ni kazi bure tu. Ukisikia upande wa pili si ajabu utakutana na mambo ya ajabu. Utasikia binti hana shukrani. Mara haridhiki...au ni mfujaji mzuri tu. Unampa leo na kesho keshaona kitu kipya anataka akanunue. Ukipata wa hivi utajitoa mpaka ufe na hatakaa aridhika kamwe!

Wazungu hawa sometimes nawe unapewa...na zawadi unanunuliwa...hata out unapelekwa. Maisha ni kusaidiana ....hasa siku hizi..
 
Muhimu mtu kuwa na hela zako ambazo unakuwa na uhuru nazo.
Ukitegemea za mtu na wala sio mme inakuwa shida.
 
Sala yangu nimeanza kwa kumshukuru Mungu kwa kusema "Ahsante..." na nimeimalizia na "Ahsante" baada ya neno "Amen" japo maneno yote ya katikati yalikuwa ni "Ahsante"....
Mungu ni wa ajabu sana na matendo yake ni makuu...
Nimalizie kwa kumwambia tena Mungu...Ahsante [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…