Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna uzi huko mdada analalamika, jamaa yake hajawahi kumpa ht mia tangu waanze mahusiano yao[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Wanaume acheni roho mbaya jamani, wkt mwingine muwe mnajiongeza tu, sio hd mfunguliwe nyuzi huku[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Na nyie mpunguze hivyo vishoka jamani. Kwani imeandikwa wapi kuwa mkilianzisha basi na vishoka ni kwa kwenda mbele? Mwanawasu, acha tu tuwe WAGUMU! 😁 😁
 
Hata nyie nanyi muwe mnatoa jamani khaaa
Kuna uzi huko mdada analalamika, jamaa yake hajawahi kumpa ht mia tangu waanze mahusiano yao[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Wanaume acheni roho mbaya jamani, wkt mwingine muwe mnajiongeza tu, sio hd mfunguliwe nyuzi huku[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mara kwa ujumla pana mandhari zuri. Jitahidi siku moja ufike tena ufike hadi tarime. Uvuke daraja la kirumi linalonesa, ila sema hawaruhusu ht kupiga picha pale[emoji3][emoji3].
Daraja linalindwa na askari masaa 24.
Mi najua kuwa Kyabakari iko huko, ila huwa napenda miji/vijiji vyenye mandhari ya aina hiyo.
Natamani nifike eneo hilo nikajionee
 
400025600299_110660.jpg
 
Back
Top Bottom