Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Halotel wanalaini zao wanaziita tanzanite mi nimezipenda sana kwa mwezi elfu 20 unapewa gb50,dakika 200 mitandao yote kila siku,na sms 500 kila siku
Unagombea jimbo gani bageshi? Shinyanga mjini au Busega?Haya watia nia sasa mkae mkao wa kazi, soon majimbo na kata zinakuwa wazi na kipenga kinapulizwa.
Unagombea jimbo gani bageshi? Shinyanga mjini au Busega?