myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeTanzania tumebarikiwa sana. Wazee wetu wakisubiri hotuba ya kuvunjwa kwa bunge leo.
View attachment 1480228
JF ya zamani ilijaza watu wazito (kifikra, connection, kiuandishi n.k)........JF ya leo imejaza wabwatukaji wakiongozwa na dae ugali
Nani anaiongoza CCM?
watu wa humu ndani hamujambo?
vizuri sana..Hatujambo
jackie chan bado tu hajaacha tabia yake ya kufanya kila kitu mwenyewe, yule mzee bado anajiona ni kijana....Mashirika ya bima za Afya yote nchini China yamekataa kuwapatia huduma Jack Chan pamoja na timu yake ya kufanya maigizo ya hatari (Stunts) sababu wanaonekana ni watu wasiojali afya zao
😂 😂 😂 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 najipenda mie,jirani asije nitungia maneno mapyavizuri sana..
kuna mission nahitaji nikupatie ila ibaki kuwa ni siri kati yetu, nahitaji uniibie hilo buku la comment analolimiliki mzee myoyambendi