Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mashirika ya bima za Afya yote nchini China yamekataa kuwapatia huduma Jack Chan pamoja na timu yake ya kufanya maigizo ya hatari (Stunts) sababu wanaonekana ni watu wasiojali afya zao
jackie chan bado tu hajaacha tabia yake ya kufanya kila kitu mwenyewe, yule mzee bado anajiona ni kijana....
akiumia hata pesa ya urojo asipewe
 
Bhangarh ni mji wa kale unapatikana India ambapo inaaminika mashetani yanaishi. Mji huo hutembelewa na watalii mchana inapofika usiku hairuhusiwi mtu yeyote kuingia huko. Hakuna mtu yeyote anaeishi hapo, majirani wa eneo hilo wanadai usiku huwa wanasikia sauti za ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…