D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
poleni wezi wa buku langu,π π π π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ najipenda mie,jirani asije nitungia maneno mapya
huyo bwege akili zake bado hazijarudi tokea afanyiwe umafia, hivi hajui sababu rasmi inayopelekea mawazo mengi kuishia kwenye notebook.Watu wengi wapo vizuri sana kwenye mipango lakini ni wabovu katika utekelezaji. Mawazo bora mengi yanakufa katika Notebook." Mohammed Dewji
huyo bwege akili zake bado hazijarudi tokea afanyiwe umafia, hivi hajui sababu rasmi inayopelekea mawazo mengi kuishia kwenye notebook.
fedha, connection, Bahati.
lazima uwe na mambo mawili kati ya hayo
Hahahahah leo unanifurahisha sana