Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Eeh,mi nimeleta tu, nipate mwongozo.

Mbona hapo kama kila kitu kipo wazi rafiki, wape heshima watu wote bila kubagua, au mie ndio lugha inanipiga chenga?

Usifanye unafiki wa kumjali mtu kwa vile kuna kitu unahitaji kwake, au umpuuze na kumdharau mwingine kwa kuwa haufaidii chochote. Wanasisitiza ili mradi ni binaadam, wape heshima wanayostahili bila kujali unatarajia au kupata chochote kwao.

Au unataka kuninyima ugali mlenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…