Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1592477879420.jpeg
 
Mbona hapo kama kila kitu kipo wazi rafiki, wape heshima watu wote bila kubagua, au mie ndio lugha inanipiga chenga?

Usifanye unafiki wa kumjali mtu kwa vile kuna kitu unahitaji kwake, au umpuuze na kumdharau mwingine kwa kuwa haufaidii chochote. Wanasisitiza ili mradi ni binaadam, wape heshima wanayostahili bila kujali unatarajia au kupata chochote kwao.

Au unataka kuninyima ugali mlenda?
Sahihi kabisa Asante kwa ufafanuzi, Siwezi Kukunyima chakula ukipendacho
 
Back
Top Bottom