Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndo hapo sasa
FB_IMG_15924880358941272.jpg
 
Miongoni mwa ndege anayefugika katika jamii zetu ni kuku, ambaye pia ni kitoweo pendwa cha wengi. Lakini yapo mambo mengi na ya kustaajabisha kuhusu maisha ya ndege huyu. Kwa mujibu wa Jarida la Wanyama na Ndege la Uingereza toleo la 2018, yafuatayo ni kati ya mambo yakustaajabisha yanayomhusu ndege huyu
 
Ameshuhudia Marais 13 wa USA wakiingia madarakani tokea awe MalkiaTangu ashike rasmi umalkia wa Uingereza , Elizabeth ameongoza sambamba na Marais 13 wa Marekani ambao ni Rais Harry Truman aliyemkuta madarakani mwaka 1947, Dwight Eistenhower 1953, John F. Kenedy 1961, Lyndon Johnson 1963, Richard Nixon 1969, Gerald Forld 1974, Jimmy Carter 1977, Ronald Reagan 1981, George H W Bush 1989, Bill Clinton 1993, George W Bush 2001, Barack Obama 2009, na Donald Trump 2017, bado yupo madarakani na malkia bado hajaachia kijiti ambacho anaweza kupokea mwanae Prince Charles au atarithi akifariki.
 
Ni kosa kuendelea kula baada ya Malkia kushibaKuna mengi sana ya kustaajabisha yanayomhusu Malkia Elizabeth II, leo tumalizie na hili… Endapo mtu yeyote akapata bahati ya kula na Malkia meza moja basi sheria kuu ya kuzingatia ni kwamba malkia akisha shiba na kuweka kijiko mezani , watu wote mnapaswa kuacha kula kwani ni kosa au mwiko kuendelea kula baada yake.
 
Ni mke na Mama wa watoto wa nne Malkia Elizabeth II, aliolewa Novemba 1947 baada ya kutimiza miaka 21, na binamu yake Prince Philip ambaye wamechangia bibi mzaa bibi, yaani wote ni vilembwe wa Malkia Victoria.Walifanikiwa kupata watoto wanne ambao ni Prince Charles, Princess Anne, waliozaliwa kabla Elizabeth hajawa Malkia. Wengine ni Prince Andrew na Prince Edward waliozaliwa baada ya kuwa Malkia.
 
Manung'uniko yetu mengi katika maisha yanatokana na kuchanganya kati ya mambo tunayostahili (entitled) na mambo tunayostahiki (eligible). Lile la kwanza ni haki na hili la pili si haki yako. Kutofautisha hayo mawili kutakuepusha na kugombana na watu na kukupa amani maishani.
 
Back
Top Bottom