Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FAIDA ZA KULA CHUNGWA KWA AFYA YA BINADAMU NI KAMA ZIFUATAZO

1.UKOSEFU WA CHOO

Kutokana kuwa na kiwango kikubwa cha kirutubisho aina ya kambalishe (fibre), chungwa husaidia usagaji wa chakula tumbuni na hutoa ahueni kwa mtu mwenye matatizo ya ukosefu wa choo. Aidha, kambalishe huondoa kolestro na huimarisha kiwango cha sukari mwilini, hivyo chungwa ni zuri kwa wagonjwa wa kisukari.
 
Top 3
  1. major general issa suleiman Nassor
  2. hussein mwinyi
  3. -----------------------
dae umbeya
nipo nje muda huu nimetulia na kimeo changu, nyumba ya jirani kuna familia fulani ni CCM wa kutupwa (wale wenyewe) ndio wanamzungumzia huyu jamaaa.
yajayo yanafurahisha
View attachment 1482620
Nani huyu?

Kwa maoni yako unafikiri nani anafaa kati ya wagombea hawa?
 
4. UGONJWA WA MAPAFU

Chungwa pia lina kiasi kikubwa cha Vitamin B6 na Madini ya Chuma (iron), virubisho ambavyo ni muhimu kwa uzalishaji wa seli nyekundu za damu, ambazo hufanya kazi ya kusafirisha hewa ya oksjeni mwilini, hivyo kuwa muhimu kwa kujikinga na ugonjwa wa mapafu.
 
6. AFYA YA NGOZI

‘Anti oxidants’ iliyomo kwenye chungwa, hutoa kinga kwenye ngozi ili isiharibike au kushambuliwa na magonjwa ya ngozi yanayoweza kujitokeza kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Pia huifanya ngozi ‘isizeeke’.
 
Manung'uniko yetu mengi katika maisha yanatokana na kuchanganya kati ya mambo tunayostahili (entitled) na mambo tunayostahiki (eligible). Lile la kwanza ni haki na hili la pili si haki yako. Kutofautisha hayo mawili kutakuepusha na kugombana na watu na kukupa amani maishani.
 
2.3343062417586668E18.jpg
 
Ukipost kitu akaja mtu kukukaripia, akakukejeli ama akakuuliza swali kwa kebehi & ugomvi, usikasirike. Elewa tu kuwa humu ndani wamo wengine wanafanya 'marejesho' ya madeni yao ya utotoni ya kutosikilizwa, kupuuzwa, na kufanyiwa ukatili kwa kuutumia uhuru wao walioukosa utotoni"
 
Back
Top Bottom