Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1592407135173.jpeg
 
Unadhani unajua kila kitu kuhusu Donald Trump? Acha kujidanganya! Soma hapa.Tarehe 09/Novemba/2016 ilikuwa siku ya kihistoria kwa wamarekani na dunia nzima kiujumla baada ya mfanyabiashara mkubwa, Donald Trump kuchaguliwa kuwa rais wa 45 wa nchi hiyo yenye nguvu kubwa zaidi duniani.
 
1. ANATAMANI AKIZALIWA TENA AZALIWE MWEUSIMwaka 1989 akihojiwa na mwandishi wa habari, Trump alisema kuwa mtu mweusi mwenye elimu nzuri ana nafasi kubwa zaidi ya kupata ajira kuliko mtu mweupe mwenye elimu nzuri. Hivyo kama kuna uwezekano wa kuzaliwa tena angependa azaliwe mweusi!Kwa sasa Trump anaamini kuwa ubaguzi wa rangi umeisha kwa sababu Marekani ina raisi mweusi.
 
2. ALIPEWA DIGRII YA HESHIMA NA CHUO KIKUU CHA SCOTLAND BAADAE AKANYANG`ANYWAChuo hicho kilimpa digrii kutokana na mafanikio yake katika ujasiriamali, lakini mwaka 2015 Trump alinyang`anywa digrii hiyo kwa sababu chuo hicho kilidai kuwa sera zake haziendani na sera ya chuo.
 
Back
Top Bottom