Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wakulima poleni sana....kilimo ndio uti wa mgongo wa Taifa...
Mungu awaponye wagonjwa wote ..
Me sijaelewa etiView attachment 1482533
Khaaaah jaman lolView attachment 1482534
Sawasawa3. SHINIKIZO LA DAMU
Virutubisho vya Magnesi (Magnesium) na ‘hesperidin’ vilivyomo kwenye chungwa, husaidia kuondoa tatizo la shinikizo la damu la juu (high blood pressure), hivyo machungwa ni mazuri kwa wagonjwa wa presha.
Itakuwa mwendo wa kuruka majoka tyuuuhView attachment 1482535