Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kugombea kunakupa vitu vingi, miongoni mwa hivyo vingi hivi 3 hujirudia, kunakupa uzoefu, Network na kuuza Cv yako so kuamua kugombea kwa vijana ni maamuzi sahihi kikubwa usitukane, kukanyaga wala kuponda rekodi ya watangulizi wako, Jenga hoja zako .
 
Top 3
  1. major general issa suleiman Nassor
  2. hussein mwinyi
  3. -----------------------
dae umbeya
nipo nje muda huu nimetulia na kimeo changu, nyumba ya jirani kuna familia fulani ni CCM wa kutupwa (wale wenyewe) ndio wanamzungumzia huyu jamaaa.
yajayo yanafurahisha
1592496626793.png
 
Top 3
  1. major general issa suleiman Nassor
  2. hussein mwinyi
  3. -----------------------
dae umbeya
nipo nje muda huu nimetulia na kimeo changu, nyumba ya jirani kuna familia fulani ni CCM wa kutupwa (wale wenyewe) ndio wanamzungumzia huyu jamaaa.
yajayo yanafurahisha
View attachment 1482620
Mara paap mama samia anaibuka
 
Hii ndio miji yenye watu wengi zaidi duniani
1. Tokyo – Japani.
Japani ni kati ya nchi zilizoendelea hapa duniani kwa upande wa sayansi, teknolojia na uchumi. Ilikuwa nchi ya kwanza nje ya Ulaya iliyofaulu kujenga jamii ya viwanda. Mji huo una wakazi milioni 28.
 
3. Mumbai – Uhindi(India)
Mji huu ulianzishwa kwenye kisiwa kilichopo karibu sana na bara. Kitovu kipo kwenye rasi inayoelekea katika Bahari ya Hindi. Kisiwa kilinunuliwa na Wareno mwaka 1534 nao Wareno waliwakabidhi kisiwa kwa Uingereza 1661, Mji wa Mumbai una wakazi milioni 18.
 
Back
Top Bottom