Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
3. HAJAWAHI KUTUMIA ATM!Katika mahojiano na televisheni moja Trump aliwahi kudai kuwa hajawahi kutumia ATM Card!
Zanzibar hakuna tena mwanasiasa kijana mwenye ushawishi wa kuongea, kuwa na msimamo, kuridhika kimaisha na anayeweza kuwaliwaza wananchi kama maalim seif……..Daah maalim seif alipoteza muda sana bora angekua anaandaa kakijana ka kuja kutikisa tena chaguzi za mbelen
Daah ni chain ya vigogo tuZanzibar hakuna tena mwanasiasa kijana mwenye ushawishi wa kuongea, kuwa na msimamo, kuridhika kimaisha na anayeweza kuwaliwaza wananchi kama maalim seif……..
wanamuandaa shemegi yake amani karume, muheshimiwa mansuri yussuf himid