Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
The system is rigged. Mtu wa kawaida hapo kutoboa kazi sana. Watakuwa wanazunguka mle mle tu....Demokrasia mai futi !!!Daah ni chain ya vigogo tu
The system is rigged. Mtu wa kawaida hapo kutoboa kazi sana. Watakuwa wanazunguka mle mle tu....Demokrasia mai futi !!!Daah ni chain ya vigogo tu
Zenji wana tatizo kubwa kuliko baraThe system is rigged. Mtu wa kawaida hapo kutoboa kazi sana. Watakuwa wanazunguka mle mle tu....Demokrasia mai futi !!!
magufuli alimpa nafasi ya ubalozi wa misri, nje ya hapo sifahamu rekodi yake ila ndiye mgombea anayepigiwa chapuo na wenye chama chao kwa upande wa Zanzibar (na hii kampeni haijaanza jana wala juzi)Nani huyu?
Kwa maoni yako unafikiri nani anafaa kati ya wagombea hawa?
yes ila ukiwa madarakani, nje ya hapo heshima yako ni ya kawaida…….Umakamo wa Tanzania mtamu sana kuliko urais wa Zanzibar
wenye mapinduzi yao hawang'atuki ndani ya system.....The system is rigged. Mtu wa kawaida hapo kutoboa kazi sana. Watakuwa wanazunguka mle mle tu....Demokrasia mai futi !!!
Uko sahihi. Wanajeshi mambo yao ni ndani kwa ndani. Hawaruhusiwi kuyaweka bayana labda kama ni uasi; na ukiropoka tu court martial inakusubiri unashushwa cheo au kufukuzwa kabisa. Ni wizara moja poa sana kwa kweli.magufuli alimpa nafasi ya ubalozi wa misri, nje ya hapo sifahamu rekodi yake ila ndiye mgombea anayepigiwa chapuo na wenye chama chao kwa upande wa Zanzibar (na hii kampeni haijaanza jana wala juzi)
pia ni vigumu sana kupima ubora wa hussen mwinyi (ni kiongozi ambaye amehudumu taasisi moja isiyoonyesha Dhahiri changamoto, sijawahi kusikia wanajeshi wakilalamika)