Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Simu za sasa zina processor kubwa kuliko kompyuta iliyotumika kumpeleka Neil Armstrong mwezini kwa mara ya kwanza.
ali karume amechukua tena fomu, haiba yake ya uongozi si njema sana (nafasi ya uraisi nayo ina mvuto wake mbele ya hadhira).Uko sahihi. Wanajeshi mambo yao ni ndani kwa ndani. Hawaruhusiwi kuyaweka bayana labda kama ni uasi; na ukiropoka tu court martial inakusubiri unashushwa cheo au kufukuzwa kabisa. Ni wizara moja poa sana kwa kweli.
Hakuna memba wa familia ya Karume anayegombea? Kama yupo prospects zake zikoje au familia hii haina haiba kama zamani?
Aisee...Ana chembe chembe za uanaharakati kama shangazi wa taifa?...ali karume amechukua tena fomu, haiba yake ya uongozi si njema sana (nafasi ya uraisi nayo ina mvuto wake mbele ya hadhira).
mfumo wake wa Maisha nao pia ni sintofahamu (sina uhakika kwa sababu sijawahi kwenda viwanja vya wanywaji, ila jamaa inasemekana ni mpenda sana maji ya kiwandani),
mbwatukaji (kesho atasifia muungano, kesho kutwa ataponda muungano)
hapana,Aisee...Ana chembe chembe za uanaharakati kama shangazi wa taifa?...
Watachaguana wenyewe humo humo kwenye system yao...
maalim alishinda kweli (ccm walifanya makosa uchaguzi ule, kujiamini kwao kuliwatokea puani kwani waliruhusu kila chama wajumlishe kura zao za uraisi kupitia vituo vya kupigia kura)Maalim Seif bado ana ushawishi hasa huko kwao Pemba? Natamani agombee kwa mara ya mwisho awatingishe tena japo siamini kama atawatingisha kama alivyofanya 2015. Wengi wanaamini alishinda.
Jamaa ni mwepesi wa kuridhia, kwa mujibu wa mzee nassor moyo anasema ya kwamba hata uchaguzi wa mwaka 2010 maalim seif alimshinda kwa kura dokta shein......Imagine kuukosa urais ulioupigania miaka na miaka...na ukashinda ila tu system ikawa haikutaki. Inauma ila kwenye heka heka za kisiasa kila jambo linawezekana...