Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

103370905_647972322736973_2049295750270010350_n.jpg
 
Hv huko walikokuwa wanaandamana mbona inaonekana hali iko kawaida tu na wkt tulikuwa tunasisitizwa kujilock down.
Hapo ndio unapoona kuna kiini macho
Bado wanakufa na sehemu nyingi maambukizi yanakuja juu lakini who cares? Hata barakoa sasa ukivaa uvae usipovaa shauri yako. Maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom