Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwezi uliopita, Odoi mwenye umri wa miaka 20, alituhumiwa kumbaka mwanamke mmoja huko London, tuhuma zilizopelekea ashikiliwe na Polisi na kisha baadaye kuachiwa kwa dhamana huku akiendelea kufanyiwa uchunguzi.
 
Nimejifunza kwamba kuwa mwanasoka na kuchezea moja kati ya klabu bora duniani kunakuja na majukumu na kuanzia sasa na kuendelea, nitajitahidi kutumia nafasi yangu kama mchezaji wa Chelsea kuwa kioo kwa wengine," alisema Odoi.
 
Manchester United imefanya mawasiliano na wawakilishi wa Willian kuzungumzia uhamisho huru kwa ajili ya mshambuliaji huyo, 31, ambaye mkataba wake na Chelsea umefika ukingoni msimu huu. (France Football-in French)
 
20200617_204211.jpg

2016 two league titles
King coman
 
Back
Top Bottom