Lakini licha ya kukosekana kwa mashabiki, kabla wachezaji hao hawajaingia vyumbani kufanya sherehe, walijikusanya pamoja na kwenda kusimama mbele ya majukwaa yaliyokuwa matupu na kushangilia kwa kupiga makofi na kupunga mikono ikiwa ni ishara ya shukrani na heshima kwa mashabiki wao.