Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FUATA HATUA HIZI KUSAFISHA SINK LAKO LA JIKONI. 1.Kwanza sink kule ndani kwa ndani huziba sababu ya mafuta na kuweka block ya uzito uzito kupitisha maji. Nyunyizia baking soda kwenye matundu hayo ya kupitishia maji. 2.Hatua ya pili mwagia white veniger 3.Hatua ya tatu iache ijiyeyushe itatengeneza kama povu flani hivi. 4.Hatua ya 4 Mwagia maji ya moto kama kawa . 5.Sugua vizuri sink lako kwa sabuni unayotumia kwangu bora kabisa ni pink staff. 6.Safisha sink lako na ulikaushe.Kwenye tundu pale mwagia zaflora ya harufu upendayo inasaidia kuua bacteria na kufanya sink lisitoe harufu mbaya litanukia muda wote. 7.Usipende kuacha sink lako na maji maji yataacha alama.Ukilisafisha pendelea kulifuta ba kuacha kavu liking'aa.Lipake mafuta sink lako na sponge ili lisifubae nakuacha alama au kutu kutu.Mafuta kwa mbali litakuwa linashine balaaa. Jaribu haya na utanishukuru baadae.
 
He!! Vyoo vya aina gani hivyo
103795597_1690964154391488_1696636848290508004_n.jpg
 
Back
Top Bottom