myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!!! Nchi ile ilipitia wakati mgumu..ila kila chenye mwanzo kina mwisho.SYB, Andjul, myoyambendi, Khantwe, mzee wa liver, Yegomasika.
Kumbukeni picha hii maarufu sana miaka ya ubaguzi wa rangi Afrika kusini, kwa sababu ya tukio la mwaka 1976 huko SowetoView attachment 1483305
Duh!!Inaripotiwa Daktari aliyehusika kumdunga sindano ya dawa hizo alifanya makosa yaliyopelekea ubongo wa Adams kukosa 'Oxygen' na ndipo akaingia katika 'Coma'.
He!! Vyoo vya aina gani hivyo