Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Najua tu, sis top4 ndio kwaheliEverton wanaoshika nafasi ya 12 wakiwa na pointi 37, ikiwa watashinda mchezo huo watapanda hadi nafasi ya tisa na kuishusha Arsenal, lakini pia Liverpool ikipata ushindi itakuwa inahitaji mchezo mmoja pekee ili watawazwe kuwa mabingwa rasmi wa Epl, wataweza kweli?
[emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120]