myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
mimi ningelichagua uoga, hata huyo mtoto wangu ningelimuacha kwa kukimbia kwangu kama usain bolt....Mwanamuziki Lionel Richie anasimulia kipindi cha ubaguzi wa rangi kuna siku akiwa na Baba yake walitokea wazungu ambao walikuwa wamelewa na kuanza kumtukana Baba yake na kutaka kumpiga. Anasema Baba alichofanya ni kumbeba Lionel na kukimbia, Lionel alipomuuliza kwanini hakuamua kuwapiga, Baba alimjibu "Mwanangu nilikuwa na chaguo niamue kuwa mwanaume au niwe baba