6. Utaweza kuacha tabia mbaya
Mbinu mojawapo nzuri ya kuacha tabia mbaya ni kujipangia ratiba ngumu na kuifuata. Kama kuna muda ambao unautumia kufanya matendo kamavile ulevi, matumizi ya madawa ya kulevya, uzinzi, umbea, n.k. Basi upangie muda huo majukumu mengi kwenye ratiba yako.Kwa kuzingatia hili hutopata muda wa kupoteza kufanya matendo au tabia ambazo kimsingi siyo nzuri.