Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Sawasawa7. Unapata utulivu wa akili
Mtu unapokuwa unafanya kazi bila mpangilio ni rahisi kukosa utulivu wa akili kwani mara utasahau jambo muhimu au utafanya mambo nje ya wakati.Ikiwa umeajiriwa unaweza kukosana na mwajiri wako kwa kuwa umeshindwa kutekeleza majukumu yako vyema. Jambo hili linaweza kukunyima utulivu wa kiakili.Lakini ukiwa na ratiba utafanya mambo kwa mpangilio huku ukiwa umetulia kabisa bila tatizo lolote akilini mwako
[emoji818][emoji818]Huboresha afya na mwonekano wa ngozi
Ingawa lishe bora ni muhimu kwa ajili ya afya ya ngozi, kufunga kula kunaifanya ngozi iwe na mwonekano mzuri.Ngozi inapokuwa na sukari nyingi, huifanya iwe na mwonekano usiovutia.Kwa kufunga kula utapunguza kiwango cha sukari kinachoingia mwilini, hivyo kuwa na ngozi yenye mwonekano mzuri.
Ukioona video anavyoongea sasa hadi huruma. Uwoya anachokosea anamuweka mtoto karibu na kampani ya mashoga(gays)yaani yupo nao kila kona hadi anapoishiHuyu ni mtoto wa kiume wa Irene Uwoya,
Wadau huko mitandaoni wanalamika namna anavyolelewa na mama yake.
Wengi wanadai malezi anayopewa kijana huyo anahatarisha maisha ya baadaye.
Mungu aepushie mbaliView attachment 1485357