myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aisee...Haki miliki yake ya kwanza alipewa baada ya kugundua kifaa cha kurekodia sauti mwaka 1869.
Aisee...Mpaka kifo kinampata Thomas Edison alibahatika kupata watoto sita. Watoto watatu alizaa na mke wake wa kwanza na baada ya mkewe kufariki alioa mke mwingine ambaye nae alizaa nae watoto watatu.
[emoji120][emoji120][emoji120]Poleni wakulima wote....
Amin[emoji120]Mungu atupe afya na uzima..