Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Je Wajua? Baada ya kujua Kuwa Marafiki na Ndugu Zake Watamsumbua sana kumkopa na kumuomba Pesa Zake Alizoshinda Kwenye Kampuni ya Kubeti ya Jamaica ya Super lotto, Mr. Campbell Aliamua Kuvaa Kinyago Wakati Akipokea Pesa Hizo Zaidi ya Billion 3 ili wasimsumbue.
 
Je Wajua? Mwaka 1932 László Jávor Raia wa Hungary Aliandika Wimbo wa Gloomy Sunday Yaani Jumapili ya Huzuni Baada ya Mpenzi wake kujinyonga na kufa. Watu Wengi Waliousikiliza Baadae Waliishia Kujiua wenyew , Hata Yeye pia Alikuja kufa kwa kujiuwa Mwenyew Mwaka 1968.
 
Je Wajua? Spidi ya juu ya Gari Aina ya Bugatti Veyron ni Kutembea Zaidi ya Kilomita 400 Kwa Saa. Maana Yake ni Kwamba Unaweza. Tembea Kutoka Mbeya Hadi Dar Kwa Masaa Mawili tuu, Lakini kama Utatumia Spidi Hivyo Basi Jiandae Kujaza Lita 100 za Mafuta Kila Baada Ya Dakika 12.
 
Je Wajua? Watu wanaoishi Katika Mji wa Punakha Nchini Bhutan,Asia Wanayo mila ya kuchora Uume wa Mwanaume Uliosimama Katika Kuta Zote za Nyumba.Wanaamini Inasaidia Kufukuza Roho Chafu na Kupata Baraka Katika Maisha Yao. Kila Nyumba Mpya Lazima Ichorwe Uume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…