Phantom Vibration Syndrome ni hali ambayo unaipata kwa kuhisi simu yako ina Vibrate ikiwa mfukoni lakini kumbe sio, Watu 9 kati ya 10 hupata hali hiyo.
Je Wajua? Majivu ya binadamu yanaweza kubadilika na kuwa almasi(diamond). Kwasababu asilimia 18 ya binadamu ni carbon na asilimia kubwa ya almasi inatengenezwa kwa carbon. Kampuni iliyobadilisha majivu na kuwa almas inaitwa "Algordanza"
Je Wajua? STETHOSCOPE (kifaa cha kupimia Mapigo Ya Moyo) kili Vumbuliwa na RENE LAENEC Mwaka 1816 Paris Ufaransa Sababu zilizomfanya Avumbue Kifaa hiki ni kwasababu Alikua Anaona Aibu Kuweka Sikio lake kwenye Kifua cha Mwanamke ili Kusikiliza Mapigo ya Moyo.
Je Wajua? Mnamo mwaka1646 Massachusetts walipitisha sheria (stubborn children low) ambayo ilimruhusu mzazi kumuua mtoto wake wa kiume aliyefikisha umri wa Miaka 16 kama ni mkaidi au mwasi kwao. Sheria hiyo ilifutwq na bunge (legislature) 1973.
Je Wajua? Hii ni Gari iliyomuua James Dean Raia wa US sept 30,1955 Ikiwa ni wiki Moja tuu Tangu Ainunue. Baada ya Hapo Kila Aliyeitumia spea ya Gari Hilo Katika Gari Lake Alikufa Vibaya. Waliotaka Kulichukua na Kulipeleka Kwenye Maonyesho Kamwe Hawajawah Kupatikana Tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.