myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asubuhi njema
Duh!!Ufilipino ina visiwa rasmi 7500 na ambavyo si rasmi ni 5,000. Kama utaamua kila siku kutembelea kisiwa kimoja itakuchukua miaka 20 kuvimaliza vyote.
Duh!!! rikodi ya kechekesha....Lisa Sparxxx' mcheza Filamu za ngono kutoka Marekani, Anashikilia rekodi mpaka sasa ya kufanya mapenzi na wanaume wengi zaidi. Alifanya mapenzi na wanaume 919 kwa saa 24 tu.Kumbuka: Yupo kwenye ndoa tangu mwaka 1995, Mme wake anaitwa Jeff Sparks.
Mumewe akapimwe kichwa huenda hana ubongoLisa Sparxxx' mcheza Filamu za ngono kutoka Marekani, Anashikilia rekodi mpaka sasa ya kufanya mapenzi na wanaume wengi zaidi. Alifanya mapenzi na wanaume 919 kwa saa 24 tu.Kumbuka: Yupo kwenye ndoa tangu mwaka 1995, Mme wake anaitwa Jeff Sparks.