Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Na Barcelona kwa sasa inatazama namna ya kupunguza bili ya mishahara kwenye kikosi chao baada ya janga la corona, huku hesabu zikipigwa za kumpige bei staa huyo wa Ufaransa. Manchester United walihusishwa juu ya kumsajili fowadi huyo kabla ya kwenda kujiunga na Barcelona, huku kinachosemwa ni kwamba miamba hiyo ya Old Trafford inaweza kuihitaji tena saini yake kama wakisikia amewekwa sokoni.