Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tengeneza jina lako kiasi kwamba liwafungulie na si kuwafungia watoto wako milango katika maisha yao huko mbeleni. Ikiwa una mpango wa kufanya ubaya ama kuachana vibaya na watu, basi wape watoto wako majina tofauti na la kwako.