Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yego ni muoga sana kuongea na warembo sijui shida nini?
Ila kaDavet ni kahuni kale katoto, kaliniomba sana kaje nyumbani nilikakatalia,kwangu kuna vibinti vingi, ningemfunga kwa kweli.Cole hana shida mtoto wa watu, mpooole...
Cole mpole?

Subiri akimwona Kivuruge wake ndo utajua kama ni mpole ama la!
 
[emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…