Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Walijisahau wanagombania miradi wazi wazi utafikiri watoto wadogo...
IMG-20200624-WA0027.jpg
 
Jirani kwema?
Nimeona sehemu umeapa jua liwake mvua inyeshe, iwe vumbi liwe tope lazima ukalione hilo kanisa kwa msaada wa Ngosha.... Nami nasema hivi "nina haja ya kupaona mahali hapo,usinitenge kwenye hiyo safari,ikiwa tu sio ya kupanda ndege"
Jirani tutaenda hata kwa ungo!....ili mradi tusali humo siku moja[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom