Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika Ligi Kuu ya Hispania, Messi amepachika jumla ya mabao 21 yanayomfanya awe kinara wa ufungaji katika ligi hiyo huku akipiga pasi 14 zilizozaa mabao
Kana kwamba haitoshi, katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, Messi amefunga mabao mawili na kupiga pasi tatu zilizozaa mabao.
 
naamini kuwa, kwa sasa maamuzi yapo kwa viongozi wa klabu zote mbili, lakini nimekuwa naongea na Ole Gunnar Solskjaer na ameonesha kukubali kuwa mchezaji huyu asalie hapa hadi mwisho wa msimu. na tuna imani kuwa tutamsainisha mapema kabla ya mkataba wake kufikia siku za mwisho.
 
Je Wajua? Kuna kanisa linaloitwa 'Adonitology' ambalo waumini wake wanaabudu Wanawake wenye Makalio makubwa
[emoji14][emoji14][emoji39]
IMG_20200610_200103.jpg
 
Back
Top Bottom