Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Swali gani tena hili kamanda? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]Kamanda baada kuishi ughaibuni kwa miaka mingi kiasi hicho unaweza kujaribu kufanya kitu cha aina hiyo?
Hiyo ni kazi yenye laana sana na wengi wao (hasa wanawake) huwa wanakufa vifo vya ajabu ajabu ikiwemo kujiua na drug overdose.