D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
dah kumbe wewe mzee umeanza kutumia huduma ya mtandao takribani miaka 11 iliopita, hongera sana mzee mwenzangu.....kutangulia si kufika.Miiko ya Uenyekiti wa Chama cha WAGUMU inambana sana Yego aisee. Ni hilo tu yaani! π¬π¬
Jirani huyu?dah kumbe wewe mzee umeanza kutumia huduma ya mtandao takribani miaka 11 iliopita, hongera sana mzee mwenzangu.....kutangulia si kufika.
umejiunga JF mwaka 2009
neeeee sijaelewaJirani huyu?
BasΔ± siye. Asante lakini!neeeee sijaelewa
DuhUcku mwema wanafamilia wa jitu Fulani.
Akiongozwa na Askofu SHIMBA YA BUYENZE na Mama mzito wa heshima mama askofu Numbisa.
Wee mzee leo Alhamisi....Tumshukuru Mungu kwa kutujaalia Ijumaa nyingine [emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23]Wee mzee leo Alhamisi....
Huku kufungua shule kutatuua wazazi mwee [emoji1][emoji1][emoji1]
ππππWee mzee leo Alhamisi....
Huku kufungua shule kutatuua wazazi mwee [emoji1][emoji1][emoji1]
π π π ππWee mzee leo Alhamisi....
Huku kufungua shule kutatuua wazazi mwee [emoji1][emoji1][emoji1]