myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AminMungu awaponye wagonjwa wote...
AminMungu atupe afya na uzima..
AminMungu atupe jioni njema
π π π π π π π π π π πππIla hilo burungenye ukilipaka mafuta ya nazi lina raha yake kulichezea ujue...
Yaani mguu ulio athirika unaunyajua juu "L" mzima unaukalia kwa kupiga magoti, ukiwa unalisiriba burungenye kwa mafuta konokono anakuwa anagongwa gongwa na parachichi kwa mfumo kichapo cha mtoto mtukutu akichapwa na mwalimu kichwani huku anaulizwa maswali...