Je, Wajua?Martin Laurello kutoka Ujerumani ndiye mwanadamu pekee aliyekuwa na maajabu kwenye kichwa chake kiasi cha kuwaacha wanasayansi vinywa wazi.Martin alikuwa na uwezo wa kugeuza kichwa chake kwa nyuzi 180 na kuangalia kitu cha nyuma yake bila kugeuza mwili. "Human Owl".
Chembe moyo au kwa kitaalamu stable angina au angina pectoris, ni aina ya maumivu ya kifua yanayatokea baada ya kupungua kwa mzunguko wa damu kwenye moyo.
CHEMBE MOYO HUTOKEA WAKATI GANI?Chembe ya moyo hutokea pale misuli ya moyo inapohitaji damu ya kutosha zaidi kuliko kawaida, mfano wakati unafanya mazoezi, au unapokuwa na msongo wa mawazo
Unapokua umetulia mfano umekaa kwenye kitu kiwango cha hewa ya oksijeni kinachohitajika ni kdiogo, lakini unapokuwa kwenye shughuli kama kupanda mlima au kukimbia moyo unahitaji kiwango kikubwa cha hewa na ndio matokeo ya chembe moyo
Pamoja na maumivu na kubana kwa kifua dalili zingine za chembe ya moyo ni kama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.