Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kushindwa kupumua vizuri
Duh!Je, Wajua?Martin Laurello kutoka Ujerumani ndiye mwanadamu pekee aliyekuwa na maajabu kwenye kichwa chake kiasi cha kuwaacha wanasayansi vinywa wazi.Martin alikuwa na uwezo wa kugeuza kichwa chake kwa nyuzi 180 na kuangalia kitu cha nyuma yake bila kugeuza mwili. "Human Owl".
[emoji18][emoji18]Je wajua kuwa tani bilioni 1.3 za chakula hutupwa kila mwaka? Nunua unachohitaji tu na pika unachoweza kula tu.
Tumia websiteHili janga sijui litaisha lini jamani nakosa hata raha ya kusoma uzi wa likesView attachment 1488914
Sent using Jamii Forums mobile app