cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Achanikaye kwenye mpini hafi njaa.
hakikaNi kama kisu cha ngariba. Haichagui cha kukata!
RightAlalamikaye kwa wingi hufanya machache.
Kanuni hii ingefuatwa tungepunguza ufisadi!Bora kidogo kwa haki kuliko mali nyingi kwa wovu.
Kufa kwa kiu baharini ni uzembe.Achanikaye kwenye mpini hafi njaa.
Duhhakika
Cc ONTORIOUle mchemsho ni hatariii,kwa bei rahisi tu
YupKufa kwa kiu baharini ni uzembe.
HIV/AIDSDe-population of the world
chukua like mama
Hivi ugali wa dona ni mtamu Kwa mboga gani?
ONTARIO pitia hapa.Ule mchemsho ni hatariii,kwa bei rahisi tu
Natural resources are being depleted
HahahahahhahahaaDawa ya Kichwa kichafu ni shampoo.