Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Natumaini hayo mabaya hayajakugusa moja kwa moja. Nasikia tatizo lipo na linafanya mambo yake kimya kimya. Watu wameacha kupiga nyungu ama? Ile dawa ya NIMRI nayo vipi? Pole sana.Mungu ni mwema kidogo ndugu yangu. Yapo mabaya yametokea Ijumaa iliyopita lakini ni sehemu ya maisha yetu. Hili tatizo lipo tuzidi kujikinga tu.
Habari ya huko?
Huku inaonekana tatizo linarudi upya katika baadhi ya majimbo lakini maisha ni lazima yaendelee. Sema tu wanatilia sana tahadhari. Bila barakoa huingii kwenye maduka mengi. Tuombe Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]